Genesis 37:13

13naye Israeli akamwambia Yusufu, “Kama ujuavyo, ndugu zako wanachunga makundi huko karibu na Shekemu. Njoo, nitakutuma kwao.”

Yusufu akajibu, “Vema sana, niko tayari.”

Copyright information for SwhKC